Showing posts with label dowans ipo kupunguza tatizo la umeme au kupandisha gharama za maisha kwa wa TZ afadhali isingekuwepo... Show all posts
Showing posts with label dowans ipo kupunguza tatizo la umeme au kupandisha gharama za maisha kwa wa TZ afadhali isingekuwepo... Show all posts

Monday, February 7, 2011

WANAFUNZI VYUO VIKUU

Tanzania haina hela ya kuwawezesha wanafunzi vyuo vikuu kuendelea na masomo kwa kuwapa mikopo kwa muda, lakini hela za DOWANS zipo, heri wananchi waumia kwa kulipa kodi, bidhaa kupanda bei ilimradi DOWANS ilipwe. Tanzania kila siku tunalalamika misaada, yanini kama mnapigania mamilioni ya Rostam na interest zake pamoja na mabilion ya DOWANS?