Tuesday, May 31, 2011

mwelekeo

kutokana na juhudi zinazofanyika ktk kuwaunganisha wanakimaro kwa ajili ya kuwa karibu na kushirikiana ktk shughuli mbalimbali za kimaisha, tunawakaribisha wote ambao mtapenda kushirikiana nasi katika kufanikisha zoezi hili, ipo mipango dhahiri ambayo tunaweza kuifanya kuhakikisha kwamba mambo yanaenda sawa, hivi karibuni tunategemea kuanzisha mchakato wa katiba mpya ambapo kila mmoja wetu atotoa mawazo yake ya namna katiba yetu itakavyo kuwa na itakavyo kidhi mahitaji yetu, usiogope kuchangia , mawazo yako ni ya msingi sana.

1 comment: