Monday, June 20, 2011

nganjoni

katika ujenzi wa zahanati ya nganjoni wanakijij hawakuwa na mchezo, wakiamua kufanya kazi haijalishi ni wanaume, wanawake, vijana au nani, wote huwajibika, hawa ni wanakijiji wa nganjoni wakiwa katika ujenzi wa zahanati ya kijiji
KIMARO IN NEW VERSION

No comments:

Post a Comment