SHARING VIEWS AND INTEREST ABOUT THE SURROUNDING ENVIRONMENT AND PLANNING FOR THE USE OF THE RESOURCES. ANY EVENT TO US IS AN OPPORTUNITY
Wednesday, June 22, 2011
News
Niny ni Chumvi ya ulimwengu,haya ni maneno ya Mungu katika kututahadharisha juu ya uwezo na mamlaka tuliyo nayo katika kumtumikia, ina maana tuna wajibu wa kueneza injili dunian kote. Na ili kueneza injili lazma tuwe safi kwanza kwani , ukiendelea kusoma utaona kwamba chumv ikiharibika haifai kitu tena, hutupwa nje na kukanyagwa kanyagwa na wapita njia. Tujiweke tayar tuitende kazi. KIMARO IN NEW VERSION
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment