Friday, November 4, 2011

KARIBU UCHANGIEMAONI NA USHAURI

                                                    

The kimaro and friends wide group is about to register their group and programs, so we a   inviting suggestions views and comments from our fans. As pointed out before that our aim is to cooperate together in all sphere of social life. But seen that we cant achieve that without having  our own source of fund to run our programs.
We decided to raise our own fund through contribution and we agreed to contribute  through entrance fees, and monthly contribution.
In order for assuring the security of the members funds/ contribution we are about to open up account for saving, and in order for this  fund to be beneficial  to all members and have the claim over it. We decided to form our own constitution that will be used to guide the group operation and the members rights.
The group constitution will show who are qualified to be a member of our group and will be used in registration of the members
‎1.1 Jina: KIMARO AND FRIENDS WIDE

1.2 Utangulizi, Hiki ni kikundi cha kijamii, ambacho kina lengo la kuwaunganisha watu pamoja katk kushirikiana ktk masuala ya kijamii. Lengo hasa ni kuwa unganisha kimaro wote popote pale walipo, lakin s...io vibaya tukawa na marafik zetu na kupanganga pamoja.

2.1 Uongozi
kikundi chetu kinaviongoz ambao wapo walio chaguliwa na wengine kuteuliwa.
Kiongoz anaweza kuondolewa na wanachama endapo atashindwa kutekeleza wajibu wake.
B)kiongoz lazma a heshmu mawazo ya wanachama na maamuz yatolewe kulingana na katiba.

2.1.1 Mwenyekiti. Atachaguliwa na wanachama.
Huyu ni kiongoz ambaye atasimamia na kuongoza shughuli za kikundi, anao wadhifa wa kuteua wajumbe na viongoz kwa kushirikiana na baraza la viongoz.

2.1.2 makam mwenyekiti. Atateuliwa na mwenye kiti na kupitishwa na wanachama. Atashirikiana na mwenyekiti ktk kuongoza kund.

2.1.3 katibu. huyu atachaguliwa na wanachama, Anao wajibu wa kuratibu na kutunza kumbu kumbu za kikundi, kushirikiana na mwenyekit ktk kuandaa ajenda.
2.1.4 makam katibu. Atateuliwa na mwenyekit na kupitishwa na wanachama. Atashirikiana na katibu,

3.1.1 kamati: kikund chetu kina kamat mbali mbali za kusimamia na kushughulikia kaz za kundi. Kamati hizi zitaundwa na mwenyekiti, na kupitishwa na baraza la viongoz.

3.2.1 Kamati ya mipango. Kamati hii itahusika ktk kuandaa mipango na kupanga namna ya kufikia mipango hiyo. Taarifa na mipango yote itapitia kwa baraza la viongoz na kupitishwa ili wanachama waweze kufaham. Na sera zote zitajadiliwa na wananch baada ya kupitia baraza la viongoz.

3.2.2 mwenyekiti kamati ya mipango. Huyu anachaguliwa na wanachama. Anao wajibu wa kuandaa mipango pamoja na sera katika kufanikisha mipango hiyo akishirikiana na wajumbe wa kamat yake.

3.2.3 makam mwenyekiti. Atashirikiana na mwenyekiti wa kamati ya mipango. Atateuliwa na mwenyekiti wa kikundi na kupitishwa na baraza la viongoz.
3.2.4 wajumbe wa kamati ya mipango watateuliwa na mwenyekit wa kund kwa kushirikiana na mwenyekit wa kamati pamoja baraza la viongoz.

3.3.1 kamat ya nidham. Hii ni sawa na kamati ya ulinz na usalama. Itahakikisha wanachama wanapewa fursa sawa na hakuna anayeonewa.

3.3.2 mwenyekit wa kamat ya nidham. Huyu atachaguliwa na wanachama. Na anatakiwa asionyeshe hisia zozote za undugu, baba au mama ktk kusimamia haki.

3.3.3 makam wa kamati. Huyu atateuliwa na mwenyekiti wa kundi na kupitishwa na baraza la viongoz. Atashirikiana na mwenyekit wa kamati katka kusimamia haki na usawa kwa wanachama.

4.0.1 wanachama.
Wanachama ni yeyote ambaye ni mwanachama wa kimaro and friends wide na ametimiza mashart yote.

4.1.0 mashart ya kujiunga. Mwanachama atalipa 10000 kujiunga na pia ashiriki katika vikao.

4.1.1 Ada ya mwanachama. Ni shiling 5000 tu kwa mwez.

4.1.2 Mwanachama kupata huduma zetu kama kikundi. Lazma awe analipa ada na ametoa kiingilio na anashiriki katika vikao vya chama popote alipo.

4.2.0 mwanachama akitaka kujitoa. Mwanachama akijitoa kwa sababu ya msingi atapatiwa asilimia kumi na tano 15% ya ada yake kwa miez yote. Aliyolipa .

4.2.1 mwanachama mpya. Atatakiwa kutoa ada na kiingilio na kushiriki kikamilifu ktk vikao vya chama.

5.0.1 Lengo kushirikiana katika shughuli zote za kijamii kwa kuwezeshana. Shughuli kama matatizo, furaha na maendeleo.

5.0.2 mipango: inategemea maoni ya wanachama na kamat ya mipango.

5.0.3 utekelezaji wa mipango. Itategemea mfuko wa kundi na kiasi kinachohitajika katika kutekeleza jambo hilo.

5.1.0 maeneo ya kushirikiana. Matatizo kama vile ugonjwa, kifo, ajali. Furaha kama vile maafali, harusi, sendoff. Maendeleo itategemea na eneo husika na uhusika wa mwanachama.

5.1.1 matatizo:
Matatizo kama vile ugonjwa, kifo, ajali.
5.1.2Furaha kama vile maafali, harusi, sendoff.
5.1.3 maendeleo.
Maendeleo itategemea na eneo husika na uhusika wa mwanachama.

6.0.1 matazamio

DROP UP YOUR VIEW ,



KIMARO IN NEW VERSION

No comments:

Post a Comment